Ukumbini: BWANA HARUSI AONESHA VIDEO YA BI HARUSI AKIWA FARAGHA NA SHEMEJI YAKE

Katika habari zilizotrend mitandaoni wiki hii ni pamoja na video ya Bwana Harusi kutokea nchini China akifichua mahusiano ya Bibi Harusi katika sherehe ya siku ya harusi yao, na alifanya hivyo kwa kucheza video iliyosemekana kuwa ni mwanamke huyo akiwa kitandani na mwanaume mwingine, ambae pia ni shemeji ya bwana harusi.

Post a Comment

Previous Post Next Post