Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Tawi la Masekelo, Bi. Amina Francis Mwandu leo Juni 29, 2025 ameonesha nia ya kuwatumikia wananchi kwa kuchukua Fomu ya Maombi ya Kugombea Nafasi ya Udiwani wa Kata ya Masekelo, iliyopo katika Jimbo la Shinyanga Mjini, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

0 Comments