MECHI YA SIMBA NA YANGA YABADILISHIWA MUDA WA KUCHEZA
Mchezo wa ngao ya Jamii kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumamosi Agosti 13 katika uwanja wa Benjamini Mkapa, muda wa mchezo huo umebadilishwa.
Mtanange huo sasa utapigwa kuanzia saa moja usiku badala ya saa kumi na moja jioni
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: