HUYU HAPA MWAMUZI WA MECHI YA LEO KATI YA SIMBA NA YANGA
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii unaotarajiwa kuchezwa leoo Agosti 13 Uwanja wa Mkapa tayari sti ya waamuzi imewekwa wazi.
Mchezo huo ni maalumu kwa ajili ya ufunguzi wa msimu wa 2022/23 unaotarajiwa kuanza Agosti 15,2022.
Kwa upande wa mwamuzi wa kati ni Elly Sasii akisaidiana na Mohamed Mkono ambaye atakuwa msaidizi namba moja.
Jina la Kassim Mpanga limepita pia yeye atakuwa mwamuzi namba mbili kwenye mchezo huo.
Ramadhan Kayoko yeye atakuwa ni mwamuzi wa akiba huku Nassoro Hamdun akiwa ni mtahimin wa mchezo huo.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: