BINTI AMSHITAKI DAKTARI KWA KURUHUSU MAMA YAKE AMZAE,ASEMA HAKUSTAHILI KUZALIWA

Picha ya Evie Toombess

Mwanamke anayefahamika kwa jina la Evie Toombess (20) amefungua kesi dhidi ya Daktari aliyemsaidia mama yake kujifungua kwa madai ya kwamba yeye hakustahili kuzaliwa.

Evie alizaliwa na tatizo la 'Spina Bifida' ambalo husababishwa na kutokukua vizuri kwa uti wa mgongo wa mtoto akiwa tumboni, pamoja na kuzaliwa na tatizo hilo Evie ni maarufu katika mchezo wa kuruka na farasi nchini Uingereza.

Evie anasema kama Dkt Phillip Mitchell angemshauri mama yake kutumia virutubisho vya 'Folic Acid' basi mama yake asingebeba ujauzito na yeye asingezaliwa na tatizo la 'Spina Bifida' ambalo humfanya kuvaa mirija masaa 24

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 753 336 000 au +255 625 917 902

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.