
Baada ya kutua jijini Mwanza mapema leo, kikosi cha Yanga kimefanya mazoezi ya jioni kwenye uwanja wa shule ya Alliance.
Kesho jioni Yanga itafanya mazoezi katika uwanja wa CCM Kirumba, uwanja ambao utatumika kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 12 dhidi ya Mbao FC.
Mashabiki wa Yanga katika jiji la Mwanza 'wamepagawishwa' na uwepo wa klabu yao jijini humo na wameahidi kuipa sapoti ya nguvu keshokutwa
0 Comments