Video Mpya : MAMA USHAURI - DHAMBI

Nakualika kutazama video mpya ya msanii wa nyimbo za asili Mama Ushauri ' Ng'ombe Bhulaya ya Kudimila Ngong'ho' inaitwa Dhambi. Video imetengenezwa katika studio za Asili yetu Africa. Nyimbo hii imeimbwa kwa Lugha ya Kisukuma lakini kutokana na ubora wa studio hii,maneno yanayosikika katika video hii yametafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili
Bonyeza hapa chini kutazama video hii

Post a Comment

0 Comments