Video Mpya kabisa : KAKA JAY - NAMPENDA MAGUFULI

Baada ya kufanya vizuri katika nyimbo kadhaa ikiwemo Tanzania na Viva Watanzania,Amani,Afrika, msanii Kaka Jay kutoka Kahama mkoani Shinyanga ameachia video mpya inaitwa Nampenda Magufuli. Video hii imeongozwa na Elisha Mabinda kutoka Mabinda Records ya mjini Kahama.Wasiliana na Kaka Jay kwa simu  0788190022. Tazama video ya Nampenda Magufuli hapa chini. 

Post a Comment

0 Comments