NANI KAMA YANGA? TAZAMA WALICHOKIFANYA LEO KUELEKEA MECHI YAO DHIDI YA SIMBA
Nini Kinaendelea baada ya Mchezo dhidi ya Stand United?
Klabu ya Yanga kupitia kwa Mkuu wake wa Kitengo cha Habari na mawasiliano Dismas Ten amesema Klabu ya Yanga kwa leo Itaendelea kuwa Mkoani Shinyanga na itafanya mazoezi yake huko huko Shinyanga.
Yanga imeamua kubaki Shinyanga mara baada ya mchezo wake dhidi ya Stand United uliochezwa katika uwanja wa Kambarage Mechi ikiisha kwa Yanga kushinda bao 4 kwa 0
Hata Hivyo Dismas Ten amesema Yanga Itaondoka kesho kurejea Dar Es Salaam.
VIPI KUHUSU KAMBI YA KUMWINDA MTANI WA JADI SIMBA?
Dismas Ten amesema Ngoja timu irejee Dar Es Salaam siku ya kesho ndipo klabu itatoa Taarifa za ni wapi hasa klabu hiyo Itaweka Kambi.
Lakini taarifa za Kunyapia nyapia zinasema Yanga wanaweza wakaweka Kambi yao Mkoani Morogoro kujiwinda dhidi ya watani wao Simba ambao wao leo wanakwea pipa kwenda Zanzibar kwa Maandalizi.
Simba na Yanga wamekuwa na Utaratibu wa kuukimbia Mji kwa Muda kila linapokaribia Pambano la watani wa Jadi. Kupata kila Taarifa kuelekea pambano la Yanga vs Simba Oktoba 28 Like Ukurasa wetu wa Facebook hapo chini.

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi