USAJILI WA YANGA JULY 24, 2017: TEGEMEA HILI JAMBO KUBWA

Leo Klabu ya Yanga huenda wakamtangaza na Kumtambulisha Kiungo anayetajwa kuwa Mrithi wa Haruna Niyonzima Kijana Papy Kabamba Tshishimbi Toka Mbabane Swallows. Kiungo huyo wa Yanga tayari Yupo Nchini kwaajili ya Mazungumzo toka Juzi Usiku.

Kama Yanga watamalizana naye fresh basi leo au Ndani ya wiki Hii huenda wakamtangaza Kiungo Huyo.