SIMBA: TAARIFA MPYA NA NZURI LEO IJUMAA 28,JULY 2017
SIMBA: Taarifa Mpya na Nzuri leo 28.7.2017
Klabu ya Simba Imesema kuwa Mchezaji Emmanuel Okwi leo anatarajiwa Kuungana na wenzake Afrika Kusini kwaajili ya Maandalizi ya ya Msimu Ujao 2017/2018.Ndugu msomaji wa Kwata Unit Blog Okwi ni kipenzi cha washabiki wengi wa Simba hasa kutokana na uwezo wake awapo Uwanjani.
Okwi alikuwa ni mmoja kati ya wachezaji ambao walikuwa bado hawajaripoti Kambini, Okwi atajiunga na Wenzake na atakuwa ni mmoja kati ya wachezaji watakaotambulishwa Simba Day.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi