Video: DARASSA AACHIA VIDEO MPYA YA HASARA ROHO...
Rapa aliyetikisa mitaa na vyombo vya habari na kuzipa shida baadhi ya nyimbo za wasanii wakubwa kushindwa kufanya vizuri kwa muda, Darassa wa ‘Muziki’ amerejea tena na ‘Hasara Roho
Ni ngoma ambayo bado inaendeleza mtindo usio na jina maalum wa rapa huyo, ulio na mchanganyiko wa asili ya Afrika na ngano za kisasa.
Video hiyo iliyoongozwa na Hanscana, ni moja kati ya video bora za Darassa zikiwa na matukio ya uswahilini, ushuani huku zikinogeshwa na mtindo wa kucheza alioubatiza jina la ‘Kuhangaika’. Hata hivyo, mtindo huo pia uliwahi kubatizwa jina la ‘flying swag’.
==>Itazame hapo chini
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi