

Wasamalia wema wakiendelea na zoezi la uokoaji

Gari aina ya costa likiwa limeingia kwenye bonde na kupelekea kupoteza maisha ya baadhi ya wanafunzi

Wanafunzi wapatao 20 wanahofia kupoteza maisha katika ajali iliyotokea muda mfupi huko karatu. Mpaka sasa chanzo cha ajali hiko kinasemekana ni gari walilokuwa wamepanda wanafunzi hao kuacha njia na kuingia kwenye bonde kama inavyoonekana kwenye picha. Taarifa zaidi zitakujia kadri tunavyozipata kutoka kwa wadau