HALI YA MBUNGE WA CHADEMA TARIME VIJIJINI SI NZURI
Hali ya Mbunge wa Tarime Vijijini Mh. John Heche imebadilika usiku wa kuiamkia leo na amekimbizwa hospitalini Dodoma. Huenda akahamishiwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Tumuombee comrade Heche na pole sana kwa familia na wabunge wenzake.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi