Ni ibada ya kukumbuka kupaa kwake Yesu kristo, iliyofanyika katika kanis ala KKKT Dayosisi Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria Usharika wa Ebeneezer Kanisa Kuu Shinyanga siku ya Alhamis 25/05/2017 iliyoanza sa 10:30 jioni na kumalizika saa 12:00 jioni.
NENO KUU la siku hiyo lilikuwa "AMEPAA KATIKA UTUKUFU WAKE" ikiwa ni SIKU YA KUKUMBUKA KUPAA KWA YESU KRISTO
NENO KUU la siku hiyo lilikuwa "AMEPAA KATIKA UTUKUFU WAKE" ikiwa ni SIKU YA KUKUMBUKA KUPAA KWA YESU KRISTO
Ibada hiyo iliongozwa na Dean wa Kanisa Kanisa kuu, mchungaji Trafaina Nkya na mahubiri kutolewa na Askofu wa kanisa hilo Dr. Emmanuel Joseph Makala.
>>>>>BOFYA HAPA CHINI KUSIKILIZA MAHUBIRI HAYO>>>>>
Mahubiri hayo yalitolewa na Askofu Dr. Emmanuel Joseph Makala
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki Ya Ziwa Victoria (DKMZV) Dr. Emmanuel Joseph Makala akitoa salaam kwa washarika waliohudhuria ibada hiyo.
Msaidizi wa Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki Ya Ziwa Victoria (DKMZV) na Dean wa Kanisa Kuu Usharika wa Ebeneezer Shinyanga, naye akitoa salaam mbalimbali kwa washarika
Katibu wa Usharika wa Ebeneezer Kanisa Kuu Shinyanga Bwana Ibrahim Alfred Lyanga akisoma matangazo ibadani
Mzee wa kanisa wa zamu Bwana Benson Kimaro akisoma somo la kwanza Waebrania1:13 na la pili Luka 24:50-53
Kwaya ya Ebeneezer wakimsifu Mungu kwa wimbo
Katibu Mkuu Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi Kusini Mashariki Ya Ziwa Victoria (DKMZV) na mkuu wa jimbo la Magharibi Kusini Mchungaji Daniel akiteta jambo flani na katibu wa usharika Ibrahimu A. Lyanga mara baada ya ibada hiyo kuisha
Ibada hii ilikuwa njema na ya kupendeza sana.
PICHA ZOTE NA;
ISAAC LUHENDE MASENGWA
MASENGWA BLOG








