Msemaji wa timu ya Simba SC, Haji Manara.
Baada ya TFF kuwapokonya simba ushindi wa mezani walioutarajia ambao ni point 3 za Kagera Sugar, hatimaye wanachama wa Simba wamefungukia kwa kina suala hilo pamoja na kufungiwa kwa msemaji wao Haji Manara, Ifuatilie kwa makini video hii mpaka mwisho kujua yote yaliyoongelewa.

