VIDEO: MUHIMBILI WALIVYOGUSWA NA MWALIMU ANAYEFUNDISHA AKIWA KITANDANI
Stori inayomhusu mwalimu ambaye alikuwa anafundisha wanafunzi akiwa kitandani imeendelea kukamata headlines katika mitandao mbalimbali mara hii ikichukua sura mpya baada ya Hospitali ya Taifa Muhimbili kuguswa.
Hospitali ya Muhimbili imetoa msaada wa baiskeli na matibabu kwa Mwalimu Joyce Kantande ambaye amekuwa akifundisha akiwa kitandani kwa miaka 18 baada ya kupata ulemavu uliosababishwa na ajali aliyoipata akiwa na umri wa miaka 7.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi