Majibu ya Harmorappa Baada ya Kuulizwa Kuhusu Jinsia Yake
Rapa Harmorapa jana aliwaacha mdomo wazi baadhi ya mashabiki wake baada ya kutoa jibu tofauti kuhusu jinsia yake.
Akichat na mashabiki katika mtandao wa facebook wa EATV ndani ya kipindi cha Kikaangoni, rapa huyo aliulizwa swali kuhusu jinsi yake "Wewe ni mwanaume wa aina gani?' na rapa huyo kujibu "Mimi ni strong woman".
Jibu hilo limewashangaza mashabiki wengi wa rapa huyo kwa kuwa wanajua yeye ni mwanaume huku wengine wakidhani huenda hakuelewa swali kutokana na lugha ya kingereza iliyotumiwa.
Akiongea kuhusu uwezo wake wa kuongea na kuandika lugha ya kingereza alisema: “Lugha ya Kiingereza naifahamu vizuri lakini ile kuongea ongea ndiyo siwezi”
Rapa huyo kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake ‘Kiboko ya Mabishoo’.
Rapa Harmorapa jana aliwaacha mdomo wazi baadhi ya mashabiki wake baada ya kutoa jibu tofauti kuhusu jinsia yake.
Akichat na mashabiki katika mtandao wa facebook wa EATV ndani ya kipindi cha Kikaangoni, rapa huyo aliulizwa swali kuhusu jinsi yake "Wewe ni mwanaume wa aina gani?' na rapa huyo kujibu "Mimi ni strong woman".
Jibu hilo limewashangaza mashabiki wengi wa rapa huyo kwa kuwa wanajua yeye ni mwanaume huku wengine wakidhani huenda hakuelewa swali kutokana na lugha ya kingereza iliyotumiwa.
Akiongea kuhusu uwezo wake wa kuongea na kuandika lugha ya kingereza alisema: “Lugha ya Kiingereza naifahamu vizuri lakini ile kuongea ongea ndiyo siwezi”
Rapa huyo kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake ‘Kiboko ya Mabishoo
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
MIMI NI STRONG WOMEN- HARMORAPA
Reviewed by MASENGWA
on
Thursday, April 20, 2017
Rating: 5