VIDEO; ALICHOSEMA MDEE VS MLINGA BUNGENI LEO


Hii ilitokea bungeni Dodoma wakati wakati wabunge wakichangia bajeti ya Wizara ya TAMISEMI ambapo Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga aliposimama na kuwakosoa wapinzani baada ya kukosa nafasi ya uwakilishi wa wabunge wa Afrika mashariki, Mbunge wa Kawe Halima Mdee akalazimika kusimama kuomba mwongozo.

VIDEO: Kilichojiri kwenye Kipindi cha maswali na majibu Bungeni leo April 20