UPARA WA CHIRWA WAZUA GUMZO MTANDAONI

Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa sasa atakuwa anaonekana tofauti baada ya kupijga upara.Chirwa amepiga upara siku chache kabla ya Yanga kwenda kuivaa Azam FC kwenye Uwanja wa Taifa.


Yanga itashuka dimbani kesho Jumamosi kuivaa Azam FC katika mechi kali na Chirwa akitegemewa kuwa kiongozi wa ushambulizi.

Baada ya picha yake kuonekana mitandaoni, mashabiki wamekuwa wakijadilikwamba kwa nini Chirwa ameamua kunyoa?

Wengine wanaamini anataka kuwatisha Azam FC na wengine wanaamini huenda ni mtindo tu akitaka kuonekana 

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 753 336 000 au +255 625 917 902

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa
Powered by Blogger.