RUGE ASEMA "MAKONDA AMETUKOSEA SANA CLOUDS, URAFIKI WA MTUTU HATUUTAKI "


Leo Jumatatu Machi 20,2017 mkurugenzi wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba ametoa ufafanuzi kuhusu Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kuvamia ofisi za Clouds Media Group usiku akiwa na askari wenye silaha wakati wa kipindi cha Shirika la Wambea Duniani (SHILAWADU)