NEY WA MITEGO AKUTANA USO KWA USO NA MWAKYEMBE LEO
Emanuel Elbariki maarufu kama Ney wa Mitego leo jioni atakutana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe mjini Dodoma.
Ney wa mitego ambaye amejipatia umaarufu kupitia wimbo wake wa Wapo, amekuja mjini hapa kwa mwaliko wa Dk Mwakyembe.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi