ISHA MASHAUZI AMSHAURI JPM KUWA WATU WALIPIE MANENO YAO
Msanii wa muziki miondoko ya taarabu nchini Isha Mashauzi amefunguka na kuonesha kuumizwa na maneno ambayo watu yenye lengo la kuwagombanisha watu, huku akimshauri Rais Magufuli kama inawezekana watu walipie maneno yao
wanakuwa wakiyaongea yakiwa na lengo ya kuleta chokochoko au kutaka kuwagombanisha watu na kufikia hatua ya kumshauri Rais Magufuli kama inawezekana watu walipie maneno yao.
Isha Mashauzi aliyasema hayo kupitia kipindi cha eNewz na kusema kama watu wangekuwa wanalipia maneno wanayosema wasingeweza kupoteza muda wa kuongea vitu visivyo vya msingi na vyenye lengo la chokochoko.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi