MANGE KIMAMBI AMCHARUKIA RIDHIWANI KIKWETE HUKO INSTAGRAM
Mzee wako alikuwa na busara, Ila huyu jamaa tulienae sasa? Yeye hajajua power yake ndo maana anaitumia vibaya..... .
.Ila twende mbele turudi nyuma. Ridhwani wewe ulisumbuliwa sanaaaaa na maneno ya mitandaoni mpaka ukamuingiza babako chaka..... Na usiseme kwamba baba yako alimwachia Mungu. Hapana hakumwachia Mungu mwisho alichukua ushauri wako wa kipuuzi Na akatia saini sheria za mitandao ambayo leo Hii ndo huyu kichaaa anatumia kutufunga midomo.... Ridhwani unakumbuka jinsi wewe na January Makamba mlivyoteam up tweeter kuitetea sheria ya Mitandao?? I think pale ndo nilipokutema rasmi. I think nilikuposti wewe na January Na nikawachamba kisawasawa, wewe na January mlidhani sheria ya mitandao itawakinga Na vichambo vya mitandaoni hamkuangalia madhara makubwa ya ile sheria. Sasa oneni Leo mnavyotesa watanzania..... Na niliwaambia wewe Na January , niliwaambia hii sheria inaminya freedom of speech. Sio mimi to kila mtu aliwaambia Ila ndo ilikuwa enzi zile nchi yenu mlikuwa hamsikiiii la mtu.... Enzi zile wewe Na January ndo mahot cake wa mjini mnajifanya mnajua kila kitu, mnajifanya Miungu watu
.
.
Kwa hiyo Ridhwani unakuwa unaongea uwongo ukisema dingi alimwachia Mungu, Hapana dingi hakumwachia Mungu, Dingi alikusikiliza wewe na January Makamba Na akaamua kudo something about it like you asked him to Na akaisaini sheria ya Mitandao....
.
.
Kwa kiasi kikubwa mnoooo wewe umemuwezesha Magufuli kutufunga midomo kwenye mitandao...
.
.
Kwahiyo Riz we piga kimya tuicheze sote hiii ngoma ya mirembe mpaka 2020.....
Source Mange Page
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi