Akiwa kwenye kipindi cha Kikaangoni live jana, Mwenyekiti wa chama CHAUMMA Mhe Hashim Rugwe,aliongelea mambo mbalimbali.
Ningekuwa Rais jambo la kwanza ningehakikisha wananchi wote wanapata chakula, wanashiba kwanza mengine baadaye.
Ningefanya bei ya unga iwe shilingi 250, watoto shule wapate chakula, wapate uji, hawawezi kusoma na njaa.
"Chama Cha Mapinduzi hakina utamaduni wa kuwaheshimu watu wengine wenye uwezo ambao wanatoka vyama vingine.
