TUNDU LISU APONDA KUKAMATWA KWA WASANII JUU YA MADAWA YA KULEVYA
Ushauri wangu kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paulo Makonda Vita ya madawa ya kulevya ikiendelea kuwa ya one man show itafika mahali itamshinda, hii vita si ndogo ni kubwa sana hata raisi mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete analifahamu hilo.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi