Mzee Majuto azungumzia taarifa za kifo chake zilizosambazwa

Image result for majuto


Kwenye kipindi cha  XXL ya Clouds FM jana Januuary 24 2017 Soudy Brown amezungumza na mchekeshaji King Majuto kuhusu taarifa zinazosambazwa ambazo sio sahihi kuwa amepata ajali na amefariki.

"Na mwaka huu mnataka kuniua tena, mimi ni mzima, mara kwa mara wanatangaza mimi nimekufa…. mbaya sana", amesema Mzee Majuto