Haya hapa matokeo ya kidato cha nne mwaka 2016



Leo January 31 2017 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’ limetangaza matokeo ya kidato cha nne ‘CSEE 2016’ na matokeo ya mtihani wa maarifa (QT) 2016

Kwa urahisi unaweza kuyaona matokeo ya kidato cha nne kwenye link iliyoandikwa ‘CSEE 2016’ >>>CSEE 2016


Unaweza pia kuyatazama matokeo ya matokeo ya mtihani wa maarifa (QT) 2016  >>>(QT) 2016