PICHA: MKUTANO MKUU WA WAMILIKI NA WAENDESHAJI WA BLOGS TANZANIA.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dk. Hassan Abbas(wa pili kulia) akizungumza wakati wa kufungua mkutano mkuu wa Wamiliki na Waendeshaji wa mitandao ya kijamii -Tanzania Bloggers Network (TBN) unaofanyika katika ukumbi wa PSPF jijini Dar es salaam Desemba 05 na 06,2016.Kauli mbiu ya mkutano huo ni 'Mitandao ya kijamii ni ajira,itumike kwa manufaa'
Mwenyekiti wa muda wa mitandao ya Kijamii Tanzania Bloggers Network (TBN), Joachim Mushi(aliyesimama) akizungumza jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Tanzania Bloggers Network(TBN)
Baadhi ya Bloggers wakiwa kwenye mkutano wao
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Dk. Hassan Abba akijibu maswali yaliyokuwa yakiulizwa na baadhi ya bloggers.
Picha zote kwa Hisani ya Michuzi Blog |
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi