JE, UNATAFUTA MTU ANAYEJUA KUCHORA PICHA NA KUANDIKA MANENO KWA USTADI ZAIDI?

Able wa Michoro aka The Painter, ni mchoraji kutoka Shinyanga anayechora picha za kila namna na kuandika maandishi upendayo.
Anachora kwenye maduka,saluni,mabango,magari, n.k. kwa ubora wa hali ya juu sana




Anapatikana kwa simu namba  +255757256065

NYOOTE MNAKARIBISHWA!!