KIFO CHA ALIYEKUWA MEYA WA DAR ES SALAAM NA MBUNGE WA AFIKA MASHARIKI




Aliyewahi kuwa meya wa Dar es Salaam na mbunge wa Afrika Mashariki, Dr. Didas Massaburi amefariki dunia usiku usiku wa kuamkia Oktoba 13,2016  katika hospitali ya taifa Muhimbili mahali alikokuwa akipata matibabu yake