Shirika la WILDAF na WFT (Women Fund Tanzania) leo Alhamis 20,2025 wameendesha zoezi la utoaji maoni katika uandaaji wa MTAKUWATU (Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto Tanzania)
Zoezi limefanyika katika ukumbi wa mkuu wa mkoa wa Shinyanga likiwa linaongozwa na Shirika la WILDAF na shirika la WFT wakishirikiana na ofisi ya mkuu wa mkoa wa Shinyanga pamoja na wadau wa maendeleo kama THUBUTU AFRICA, WEADO, YOUNG WOMEN LEADERSHIP, ISC pamoja na wadau wengine.
Doctor Juma AlmasMwenyekiti wa Baraza la Watoto Taifa Raphael Charles Joseph
0 Comments