BASI LA NEW FORCE LAGONGANA NA MALORI MATATU JIJINI MBEYA, ABIRIA WANUSURIKA


Abiria wamenusurika kifo kufuatia ajali ya basi la New Force liliokuwa linatokea Dar es Salaam kuelekea Tunduma, kugongana na Malori matatu maeneo ya Mlima Nyoka jijini Mbeya, ambapo baadhi ya abiria wamepata majeraha madogo madogo.

Post a Comment

0 Comments