MCHEZAJI BORA KOMBE LA SHIRIKISHO (ASFC)


Sherehe za tuzo za shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) msimu wa 2021/2022 zinatarajiwa kufanyika Jumatano Julai 07, 2022 katika ukumbi wa Rotana Hotel, Dar es salaam

Tupo zitakazotolewa ni nyingi, katika kipengele cha mchezaji bora kombe la Shirikisho (ASFC) ni

1. Abdul Selemani - Coastal Union

2. Feisal Salum - Yanga

3. Fiston Mayele - Yanga

Post a Comment

Previous Post Next Post