
Sherehe za tuzo za shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) msimu wa 2021/2022 zinatarajiwa kufanyika Jumatano Julai 07, 2022 katika ukumbi wa Rotana Hotel, Dar es salaam
Tupo zitakazotolewa ni nyingi, katika kipengele cha mchezaji bora ligi kuu NBC (NBC PL) ni;
1. Hennock Inonga - Simba
2. Yannick Bangala - Yanga
3. Fiston Mayele - Yanga
Tags:
michezo