
Mahakama ya hakimu mkazi wilaya ya Nzega mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela Masanja shija (58) baada ya kupatikana hatia ya kufanya mapenzi na mtoto wake wa kike aliyekuwa chini ya umri wa miaka 18
Hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya ya Nzega, Godfey Rwekite alisema kutokana na ushahidi kukamilika mahakamani hapo imeridhia kumuhukumu Masanja Shija kutumikia kifungo hicho cha miaka 30 jela.
Chanzo - EATV