PICHA: RAIS MAGUFULI NA VIONGOZI WENGINE WAKIWA KATIKA UKUMBI WA KARIMJEE KUMUAGA DR. MENGI
byMASENGWA-
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, wakiwa katika ukumbi wa Karimjee, kumuaga Dr. Mengi.
Familia ya Dr. Mengi ikiusindikiza mwili wa Dr Mengi kwa ajili ya kuagwa katika ukumbi wa Karimjee