HAJI MANARA AFUNGUKA INSHU YA KUONDOKA SIMBA

Baada ya tetesi nyingi kusamba kwenye mitandao kuhusu msemaji wa simba Haji Manara kuondoka kwenye klabu yake Haji Manara amewajibu kwakuwaandikia hya upitia ukurasa wake wa instagram yake kuwa.

Siondoki Simba na naomba muelewe hvyo..ninafanya kazi sehemu sahihi na wakati sahihi....
rafiki zangu na washabiki wa klabu muelewe hvyo..walichokitangaza ni uzushi...nawezaje kuwaacha simba kipindi hiki muhimu?

Post a Comment

Previous Post Next Post