Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa Yanga Salum Mkemi Kupitia Instagram aliwachokoza Simba jana mara baada ya kutoa sare na Mbao Fc kwa Kupost Picha ya Mtu akilia na Kutoa Kamasi akiwa amevalia nguo Nyekundu huku maandishi ya kwenye Picha hiyo yakisomeka Sikubali Naenda FIFA na Kisha Mkemia akaandika Ujumbe Huu kwa Chini.
Goli la pili la mbao fc.
#
Linaongeza nguvu za kiume,
Linaondoa mapunye,
linamuita aliembali,
linaondoa mkosi,
linaongeza bahati,
linarudisha wapenzi walioachana,
Lina-balance homoni,
Lina-solve equation,
Linaondoa harara,
Linaongeza vitamin,
Linakulipia riba kwenye vikoba/saccos
Linaondoa stress,
Linapunguza mafuta mwilini,
Lina kurushia kifurushi kama simu yako inadaiwa,
Linaondoa fujo mitandaoni,
Pia linaondoa kamulomolomo mitaani,
Tags:
michezo