
Moja kati ya vitu vya Kufurahisha katika Soka ni utani wa Hapa na Pale hasa kwa vilabu vikongwe Simba na Yanga, Jana mara baada ya Simba kubanwa na Mbao Fc Haji Manara kama kawaida yake hakukaa Kimya na Kupitia Ukurasa wake wa Instagram alipost Picha ya Matokeo na kuandika
Mapambano bado yanaendelea, This Is Simba
Chanzo- kwataunit.com
Tags:
michezo