
Hatimaye Ukweli umejulikana wa kwanini Simba wako kimya kuhusu Usajili wa Aishi Manula na Aishi Manula kusema watu wasubiri wakati Ufike Wajue Anaenda wapi msimu Ujao.
Afisa Habari wa Timu ya Azam Fc ameweka wazi kuwa Aishi Manula bado anamkataba mpaka mwisho wa Mwezi Huu wa saba. Hii ndiyo sababu Simba wamekuwa Kimya Licha ya uwepo wa Uhakika kuwa Manula ameshafanya makubaliano ya mwanzo na Simba na Ushahidi ulivuja na watu wakaona.
Huenda Simba wakamtangaza Aishi Manula mara baada ya Mkataba wake Kuisha Rasmi Mwezi Huu.
MPYA KUHUSU HARUNA NIYONZIMA 29.7.2017
Kuna Taarifa za Kuaminika kuwa Haruna Niyonzima anatarajiwa Kuungana na Kambi ya Simba Siku ya Jumapili baada ya kila kitu kukaa sawa.
Niyonzima ambaye alicheza Yanga kwa muda MREFU ndugu msomaji wetu wa Kwata Unit blog Yanga walishindwa kufikia Muafaka wa kumsajili na kutangaza kuwa wameshindwa, Na Taarifa zaikaja kuwa Simba wameshakubaliana naye.
Tags:
michezo