SINGIDA UNITED YATOLEWA MICHUANO YA KOMBE LA SPORT PESA


SINGIDA UNITED YATOLEWA MICHUANO YA SPORT PESA




Kufuatia kuingia kwa wadhamin wapya SPORT PESA walioingia mikataba mbali mbali hapa nchini na timu zinazoshiriki ligi kuu bara, wameandaa michuano inayohusisha  timu mbali mbali za ukanda wa afrika mashariki zilizochini ya udhamini huo, timu ya SINGIDA UNITED toka mkoani SINGIDA, iliyopanda daraja imekuwa ya kwanza kuyaaga mashindano hayo baada ya kutolewa kwa mikwaju ya penalt ya 5-4 na timu ya AFC LEOPARDS,
Mchezo umeanza majira ya saa nane mchana na mpaka dakika 90 zinaisha matokeo ilikuwa ni 1-1 hali iliyopelekea kwenda penalt.
Previous Post Next Post