Leo siku ya pili ya semina ya neno la Mungu inayoletwa kwako na Mwalimu JOEL Y. MKEMWA kutoka Arusha. Semina hiyo ipo katika KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI (KKKT) Usharika wa EBENEEZER-KANISA KUU SHINYANGA.
KICHWA CHA SOMO CHA SEMINA HIYO NI
UNAWEZAJE KUJINASUA AU KUJITOA KATIKATI AU NDANI YA AMRI ZA KICHAWI ULIZOPEWA KUTEKELEZA
TUMEKUSOGEZEA MAFUNDISHO HAYO KWA NJIA YA AUDIO. IPO SEHEMU YA KWANZA NA SEHEMU YA PILI.
>>>>BOFYA HAPA CHINI KUSIKILIZA SEHEMU YA KWANZA>>>>
>>>>BOFYA HAPA CHINI KUSIKILIZA SEHEMU YA PILI>>>>
>>>>BOFYA HAPA CHINI KUSIKILIZA SEHEMU YA PILI>>>>


Mwalimu Joel Y. Mkemwa akikazia jambo wakati wa mafundisho
Makutano wakifurahia jambo wakati wa semina
Mafundisho yakiendelea na watu wakipokea kilichoandaliwa kwa ajili yao
Mafundisho ya neno la Mungu yakiendelea huku watu wametulia kusikiliza
Watu wakifuatilia mafundisho mazuri ya Mwalimu Joel Y. Mkemwa
Watu wakifurahia jambo wakati wa mafundisho ya semina ya Mwalimu Joel Y. Mkemwa
Mafundisho yakiendele na watu wakifuatilia kwa makini
Mwalimu Joel Y. Mkemwa akiendelea na mafundisho ya neno la Mungu
Watu wakiwa wametulia wakifuatilia mafundisho ya neno la Mungu
Mwalimu Joel Y. Mkemwa akiendelea na mafundisho siku ya pili ya semina KKKT ebeneezer Shinyanga mjini
Umati wa watu wakiendelea na kufuatilia mafundisho ya neno la Mungu.
Mafundisho yakiendelea, mtumishi wa Mungu Mwalimu Joel Y. Mkemwa akifungua akili na fikra za watu
Mungu akihudumia watu wake kupitia mtumishi wake Mwalimu Joel Y. Mkemwa
Mafundisho yakiendelea
Watu wakiwa makini kufuatilia mafundisho hayo kwa ukaribu zaidi
***************
ANGALIA PICHA NYINGI ZAIDI ZA MATUKIO YA SIKU YA LEO YA PILI YA SEMINA INAYOENDELEA KATIKA KANISA LA KIINJILIM LA KILUTHERI TANZANIA (KKKT) USHARIKA WA EBENEEZER KANISA KUU
ANGALIA PICHA NYINGI ZAIDI ZA MATUKIO YA SIKU YA LEO YA PILI YA SEMINA INAYOENDELEA KATIKA KANISA LA KIINJILIM LA KILUTHERI TANZANIA (KKKT) USHARIKA WA EBENEEZER KANISA KUU
Tags:
neno la uzima