Audio & Picha: MAFUNDISHO YA SEMINA YA NENO LA MUNGU KATIKA KANISA LA KKKT EBENEEZER SHINYANGA SIKU YA 1 NA MWL. JOEL MKEMWA


Leo siku ya kwanza ya semina ya neno la Mungu linalofundishwa na Mwalimu JOEL Y. MKEMWA kutoka Arusha. Semina hiyo ipo katika KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI (KKKT) Usharika wa EBENEEZER-KANISA KUU SHINYANGA.

KICHWA CHA SOMO CHA SEMINA HIYO NI 
UNAWEZAJE KUJINASUA AU KUJITOA KATIKATI AU NDANI YA AMRI ZA KICHAWI ULIZOPEWA KUTEKELEZA
TUMEKUSOGEZEA MAFUNDISHO HAYO KWA NJIA YA AUDIO. IPO SEHEMU YA KWANZA NA SEHEMU YA PILI.
>>>>BOFYA HAPA CHINI KUSIKILIZA SEHEMU YA KWANZA>>>>

 >>>BOFYA HAPA CHINI KUSIKILIZA SEHEMU YA PILI>>>>
 

Mwalimu Joel Y. Mkemwa akiendelea kufundisha

Somo likiwa linaendelea


Msaidizi wa Askofu Trafaina Nkya akiwa na mchungaji Jackson Maganga wakisikiliza kwa makini somo lililokuwa likifundishwa

Msaidizi wa Askofu Trafaina Nkya akiwa na mchungaji Jackson Maganga wakisikiliza kwa makini somo lililokuwa likifundishwa

Mwalimu wa semina hiyo Joel Y. MKemwa akiendelea kufundisha

Wakristo wakifuatilia mafundisho hayo kwa makini

Mwalimu Joel Y. Mkemwa akifafanua jambo wakati wa mafundisho yake

Mafundisho yakiendelea

Mchungaji msaidizi wa Dean KKKT Kanisa Kuu Shinyanga Jackson Maganga akisoma neno la Mungu wakati wa semina, kushoto ni msaidizi wa Askofu na Dean wa kanisa Kuu Shinyanga Trafaina Nkya

Umati wa watu wakiwa makini wakati neno la Mungu likisomwa

Mwalimu wa semina akisoma neno la Mungu

Watu wakifuatilia jambo alilokuwa akifundisha mwalimu wakati wa semina

Mwalimu wa semina

Wakati akitoa mfano flani



Mwalimu akisisitiza jambo flani wakati wa mafundisho yake

Watu wakimtolea Mungu sadaka

Kikundi cha kusifu na kuabudu

Muda wa kumtolea Bwana sadaka ulipowadia

Mwalimu Happiness Kihama (kushoto) akimwabudu Mungu wakati wa semina

Mwalimu Joel Mkemwa

Muda wa kuomba ulipofika, kila mmoja aliomba kwa nafasi yake

Kila mmoja alimwita Mungu kwa nafasi yake

Watu wakiwa wamezama katika maombi

Watu wakiendelea kuomba

Wakati wa maombi

Kila mmoja na hitaji lake alimuomba Bwana

Wakati wa maombi

Mtu wa Mungu akivunja ngome za giza

Hakuna mtu aliyerudi nyuma katika hili

Watu wakiendelea kuliita jina la Bwana aliye hai

Mwenyekiti mstaafu wa fellowship Manase Lange (kushoto) na Mwenyekiti msaidizi wa Fellowship wa sasa Abel Kitalama (kushoto) wakivunja ngome

Maombi yakiendelea

Msaidizi wa Askofu na Dean wa Kanisa Kuu Ebeneezer Shinyanga Trafaina Nkya akiomba

Huyu dada alisogea mbele za Mungu kuleta mahitaji yake

Mungu akihudumia kusanyiko hili

Mwalimu Happiness Kihama (kushoto) akisaidiana na Mwalimu wa semina hiyo Joel Y. Mkemwa wakati wa maombezi

Naombezi yakiendelea

Mwalimu Happiness akiendelea na huduma ya maombezi

Watu walisogea mbele za Mungu kuleta haja za mioyo yao

Mungu akihudumia watu wake kupitia kwa watumishi wake

Nguvu ya Mungu ilishuka na kila mmoja akahudumiwa kwa kadri yake

Nguvu ya Mungu ilikuwa ya ajabu kwani hakuna pepo wabaya waliobaki salama

Wachungaji wakisaidiana na mwalimu wa semina kuhudumia kundi kubwa la watu waliohitaji msaada wa Bwana

Mwalimu Joel. Y MKemwa akiendelean kuombea watu wenye shida mbalimbali

 Watoa huduma wakisaidiana na mwalimu wa semina kuhudumia watu


ANGALIA KIDOGO HAPA CHINI JINSI MAOMBEZI YALIVYOKUWA
BOFYA HAPA>>> 



**************************EWE MTU WA MUNGU AMBAYE HUKUPATA NAFASI YA KUHUDHURIA SEMINA SIKU HII YA KWANZA, NAKUSIHI USIKOSE KUHUDHURIA SIKU ZINAZOFUATA ILI UJE UPOKEE BARAKA AMBAZO MUNGU AMEANDAA KWA AJILI YAKO. MUNGU AMEMLETA MTUMISHI WAKE MWALIMU JOEL MKEMWA KWA AJILI YAKO.

SEMINA HII ITAENDELEA HADI TAREHE 11/06/2017
Previous Post Next Post