Daktari Bingwa wa Macho
Emmanuel Alex Kiberiti ameonesha dhamira ya dhati ya kulitumikia Taifa kupitia Jimbo la Shinyanga Mjini kwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake ili kuwania nafasi ya Ubunge katika uchaguzi mkuu ujao.
Dkt. Kiberiti amechukua fomu hiyo leo Juni 30, 2025 katika ofisi za CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini.
0 Comments