HABARI MPYA KUTOKA YANGA KUHUSU KIKOSI CHA MSIMU HUU

KUKAMILISHA usajili wa nyota Tuisila Kisinda ambaye ni kiungo kunaongeza nguvu kwenye kikosi hicho kwenye mechi za ushindani.
Huenda Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi akaamua kuanza na nyota wake wapya amoja na wale ambao walikuwa na kikosi hicho kwa msimu uliopita wa 2022/23 kwenye mchezo wake mmoja wa ligi ama kitaifa.
Nyota hao 11 wanaweza kuwa namna hii:-
1. Diarra Djigui
2. Djuma Shaban
3. Dickson Job
4. Yannick Bangala
5. Joyce Lomalisa
6. Feitoto
7. SureBoy
8. Tuisila Kisinda
9. Aziz KI
10. Bernard Morisson
11. Fiston Mayele
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: