WAKATI ENGLAND IKIPANDA KIWANGO, HIZI HAPA NDIO TIMU BORA DUNIANI


Baada ya kufanya vizuri takribani miaka mitano sasa mfululizo ingawa haikufanikiwa kuchukua taji lolote lakini kitendo cha kufika nusu fainali kombe la dunia la mwaka 2018 lakini pia michuano ya Euro kufika fainali mwaka huu 2021, imekuwa ni tiketi nzuri kwa timu ya taifa ya England kupanda katika viwango vya FIFA.

England ilikuwa chini katika nafasi ya 13 wakati Kocha wao Gareth Southgate anateuliwa kama meneja mnamo Novemba 2016. kupanda hadi nafasi ya tatu kwa kuitoa Ufaransa inakuwa kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2012 huku Ufaransa wakienda nafasi ya nne.

Hizi ndio timu 10 bora duniani kwa sasa.

🥇 Belgium
🥈 Brazil
🥉 England
4️⃣ France
5️⃣ Italy
6️⃣ Argentina
7️⃣ Portugal
8️⃣ Spain
9️⃣ Mexico
🔟 Denmark

Wasiliana Nasi Simu/WhatsApp +255 753 336 000 au +255 625 917 902

Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
 Bofya Hapa

No comments:

Powered by Blogger.