HABARI MPYA NDANI YA KLABU YA SIMBA, HAIJAWAHI KUTOKEA KWA TIMU ZA HAPA NCHINI
Siku ya leo katika Press waliofanya na wana habari Klabu ya @SimbaSCTanzania kwa kushirikiana na wadhamini wao wametambulisha Mascot rasmi wa klabu hiyo watakaojulikana kama Mo rafiki kwa lengo la kuongeza hamasa pindi timu iwapo uwanjani kwenye mechi mbalimbali kuanzia msimu 2021/22.
Kupitia kurasa zao za mitandao ya kijamii klabu hiyo ya Simba wameandika kuwa: “Atakuwepo kwenye michezo yetu na kwa kuanzia utakutana nae siku ya Simba Day”
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: