Picha: HIVI NDIVYO LIVERPOOL WALIVYOFANYA MAZOEZI YA MWISHO HAPO JANA KABLA YA MECHI YA FAINALI YA LEO DHIDI YA REAL MADRID
Jurgen Klopp akikumbatiana na Jordan Henderson baada ya mazoezi
Mohamed Salah akiwa mwenye furaha kabisa wakati wa mazoezi ya mwishoni
Mazoezi yakiendelea
Mazoezi yakiendelea
Golikipa Loris Karius akiwa kwenye mazoezi makali
Wachezaji wa Liverpool wakiendelea na mazoezi
Bosi wa Liverpool akifurahia jambo
Mazoezini
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: