VYAMA 12 KUCHUANA UCHAGUZI WA UBUNGE KINONDONI
Wagombea kutoka Vyama 12 wamerejesha fomu zao za Uteuzi kwa Msimamizi wa Uchaguzi wa jimbo la Kinondoni.
Wagombea hao ni Maulid Said Mtulia (CCM), Godfrey Fataeli Malisa (TLP), Johnson Mwangosi (SAU), John Januari Mboya ( Demokrasia Makini), Mwajuma Noty Milando–(UMD), Mary Osward Mpangara- (DP) na Rajab Salim Juma (CUF).
Wagombea wengine ni Mwalim Salum Juma (Chadema), Mohamed Majaliwa Mohamed (NRA), George Justine Kristian (CCK), Bashiri Saidi Kiwendu–(AFP) na Ally Omari Abdallah–(ADA TADEA).
Uchaguzi katika jimbo hilo utafanyika Februari 17.
Masengwa blog Ipo Play Store…Download HAPA ,Uwe unapata habari zote kwa urahisi zaidi
No comments: